Kuwasilisha Malalamiko Fika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara ulizia chumba cha Malalamiko utasikilizwa na Afisa Muhusika na taarifa zako zitatunzwa au unaweza kutuma malalamiko kupia tovuti hii ingia kwenye mkanda Mweusi angalia sehemu iliyoandikwa malalamiko bonyeza kisha fuata maelekezo.
Barabara ya Babati - Singida
Anuani ya Posta: P.O.BOX 310
Simu ya mezani: 027-2510066
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: rasmanyara.go.tz
Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.