• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

CCM WASHINDA UDIWANI KATA YA BAGARA -BABATI MJINI

Imechapishwa Tarehe: August 13th, 2018

Bw.Nicodemu Bonifasi Tlaghasi (Nyeusi) wa Chama Cha Mapinduzi  amewashinda wagombea wa CHADEMA Bw. Mathias Zebedayo Bombo na Bw.  Issa Athumani Ally wa UPDP katika  uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 12/08/2018 katika Kata ya Bagara Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara.

Akitangaza matokeo hayo mbele ya umati uliofurika  katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mji Babati Msimamizi wa uchaguzi Bw.Fortunatus Fwema alisema waliojiandikisha walikuwa 16307 wapiga kura walikuwa 4246 sawa na asilimia 46 ya waliojiandikisha,kura zilizoharibika ni 38 sawa na asilimia 1,kura halali ni 4208 sawa na asilimia 99 ya kura zilizopigwa, Bw.Nicodemu Bonifasi Tlaghasi (Nyeusi) wa Chama Cha Mapinduzi  kura 2708 sawa na asilimi 64 ya kura zilizopigwa, Bw. Mathias Zebedayo wa Chadema kura 1455 sawa na  asilimia 34 ya kura zilizopigwa na Bw. Issa Athumani Ally wa UPDP alipata kura 83  sawa na asilimia 2 ya kura zilizopigwa.

Msimamizi wa uchaguzi huo alivishukuru vyama vilivyoshiriki, ambavyo havikushiriki uchaguzi na wananchi kwa ujumla kwani uchaguzi umefanyika kwa amani na utulivu na hakuna tukio lolote la uvunjifu wa amani lililoripotiwa tangu kufunguliwa kwa vituo saa moja asubuhi hadi saa kumi vituo vilipofungwa na kuanza kuhesabu kura na baadae majumuisho yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmasjhauri ya Mji Babati.

Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Diwani wa Chadema kujiuzulu nafasi yake na kuhamia CCM.

(Kwa picha mbalimbali na video za Uchaguzi huo angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha na Maktaba ya Video)

Imeandikwa na: Haji A.Msovu (Afisa Habari Mkoa wa Manyara)  

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.