• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Huduma za Maji
    • Kitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Procurement
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma ya Maji
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Makubaliano ya Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

MNYETI ATATUA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU KWA MIAKA KUMI SIMANJIRO

Imechapishwa Tarehe: September 18th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexanda Mnyeti alifanya mkutano na wananchi wa kitongoji cha Katikati katika kata ya Komoro Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa kitongoji hicho ikiwemo kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka kumi ambapo vijiji vya Gitiangari na Sukro vilikuwa vikigombania kitogoji cha Katikati.

Awali akizungumza  na wananchi wa kitongoji cha Katikati aliwashukuru kwa uvumilivu,busara  na hekima walizozitumia katika kupigania haki ya kitongoji chao,Mh.Mnyeti alisema” ni zaidi ya miaka kumi sasa mgogoro huu wa ardhi umekuwa  ni kero hii ni kutokana na siasa zisoleta maendeleo hivyo kuwafanya wananchi kushindwa kuendelea kujikwamua kiuchumi  na haya ni majibu kutoka serikali kuu kitongoji cha Katikati kibaki katika kijiji cha Sukuro" Alisisitiza.

Aidha wakitoa maoni mbalimbali  Abraham Koringo na Lengai Lazaro  waliishukuru serikali kwa maamuzi waliyoyatoa kwani ni muda wa miaka kumi wamekuwa wakihangaika kutatua mgogoro huo lakini wamekuwa wakiyumbishwa na wanasiasa hivyo kukwamisha juhudi mbali mbali za kimaendeleo zilizokuwa zinafanywa na wananchi. 

(Kwa Picha mbalimbali angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha na Maktaba ya Video)

Imeandikwa na Isabela Joseph (UDSM-Mafunzo kwa Vitendo)

Matangazo

  • RATIBA YA MITIHANI KIDATO CHA SITA 2019 February 08, 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2019 MANYARA December 17, 2018
  • Matokeo upimaji Kidato cha Pili 2018. January 05, 2019
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Jafo Akabidhi Bilioni 137 kwa Mikoa 8

    February 07, 2019
  • Jafo aonyesha mfano wa matumizi bora ya Force Account

    February 07, 2019
  • Jafo alaani watumishi kutumia nguvu dhidi ya wananchi

    February 06, 2019
  • Misri kuwekeza kwenye kilimo nchini

    February 06, 2019
  • Tazama Zote

Video

Manyara ya pili Kitaifa Miradi ya Maendeleo
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Singida Road

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara@manyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

https://Dissertation-Writingservice.com

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Sitemap

Haki zote zimehifadhiwa @2017 Mkoa wa Manyara