Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana M.A.R. Musa akimpongeza Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana M.A.R. Musa akimpongeza Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara.
Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Dkt.Samuel Shilet Ulomi akishukuru kwa niaba ya Bodi hiyo kwa kuteuliwa kwao.
Mgeni Rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bwana Raymond Mushi katika picha ya pamoja na Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara
Daktari Mkuu wa Hosputali ya Rufaa Mkoa wa Manyara akiwatambulisha wageni katika uzinduzi wa Bodi ya ushauri.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhandisi Raymond Mushi(Mwenye upara)
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wakifuatilia hutoba kwa makini.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wakifuatilia hutoba kwa makini.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana M.A.R Musa akiwakaribisha wageni waliohudhuria uzinduzi wa bodi ya ushauri ya Hospitali ya Mkoa wa Manyara.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wakifuatilia hutoba kwa makini.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhandisi Raymond Mushi akihutubia wakati wa uzinduzi wa Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Mkoa wa Manyara.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhandisi Raymond Mushi akimkabidhi nyaraka za kuendesha Bodi ya ushauri Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt.Samuel Shilet Ulomi.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.