Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara akifuatilia kikao cha wadau wa maendeleo .
Mkuu wa wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea na wadau wa maendeleo.
Wakuu wa wilaya za Mbulu,Kiteto na Simanjiro wakifuatilia kikao cha wadau wa maendeleo.
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Manyara wakifuatilia kikao cha wadau wa maendeleo
Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa
Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa
Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa
Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro na Katibu Tawala wa wilaya hiyo wakifuatilia kikao cha wadau wa maendeleo
Mkuu wa Wilaya ya Hanang' Mh.Sara Msafiri Ally akisisitiza jambo kwenye kikao cha wadau wa maendeleo
Mkuu wa wilaya ya Hanang' Mh.Sara Msafiri Ally akizungumza kwenye kikao cha wadau wa maendeleo.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Mhandisi Zephania Chaula akiongea kwenye kikao cha wadau wa maendeleo mkoa wa Manyara.
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Mh.Chelestino Mofuga akizungumza kwenye kikao cha wadau wa maendeleo
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mh.Tumaini Magessa akizungumza kwenye kikao cha wadau wa maendeleo
Mkuu wa wilaya ya Babati Mh. Mhandisi Raymond Mushi akizungumza kwenye kikao cha wadau wa maendeleo
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bwana M.A.R.Musa akiongea katika kikao cha wadau wa maendeleo Mkoa wa Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara akiongea na wadau wa maendeleo katika kikao alichokiitisha kujadiliana fursa za uwekezaji zipatikanazo Mkoani Manyara.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.