Friday 31st, March 2023
@Katesh Primary School
Mkoa wa Manyara Kesho tarehe 29 Augusti,2018 utazifanyika uzinduzi wa kampeni ya kupima virusi vya ukimwi kwa hiyari,uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh Wilayani Hanang kuanzia saa mbili Asubuhi kuhutubiwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti.
Wananchi wote mnaombwa kuhudhuria uzinduzi huo!!
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.