Mkuu wa Mkoa anasikiliza kero za wananchi kila siku ya Jumanne, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 9.30 Jioni.