• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

AFISA HABARI WA WIZARA ALIYEFARIKI MANYARA AZIKWA KIJIJINI KWAO

Imechapishwa Tarehe: August 5th, 2018

Afisa Habari wa wizara ya maliasili na utalii, Bw.Hamza Temba  aliyefariki tarehe 4/8/2018 magugu mkoani Manyara katika msafara wa waziri wa wizara ya maliasili na utalii Mh. Hamis Kigwangalla uliokuwa njiani kutoka Arusha kwenda Dodoma ,amezikwa siku ya jumapili tarehe 5 /8/2018 kijijini kwao Masama wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Anna Mghwira iliwasilisha salamu za rambirambi kwa familia ambapo mkuu wa mkoa aliwasihi wafiwa kuwa na subira na kuzidi kufanya ibada  katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na ndugu yao.Pia aliwataka waombolezaji kumuombea marehemu dua njema. Mkuu wa wa Mkoa aliwasisitiza vijana kuwa waadilifu na kufanya kazi kwa bidii katika jamii kama alivyokuwa Bw. Hamza. ” Vijana ndio tumaini letu nanguvu kazi ya taifa.”Mkuu wa mkoa alisisitiza.

Huu ni msiba wa pili baada ya Afisa Habari wa wizara ya viwanda,biashara na uwekezaji Bw.Shadrack Sagati kufariki kwa ajali.Marehemu ameacha mke na mtoto mmoja.

(Kwa picha mbalimbali na video za matukio yote ya Mazishi angalia kituo cha Habari sehemu ya maktaba ya picha na maktaba ya video)

‘BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA’

Imeandikwa na: Isabela Joseph (Mwanafunzi wa UDSM(SJMC)- Mafunzo kwa vitendo)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.