• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

EWURA yaja na vituo vya mafuta vinavyotembea Nchini.

Imechapishwa Tarehe: November 29th, 2019

Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati  n a maji (EWURA) imejipanga kuanzisha mfumo wa vituo vya mafuta vyenye masharti nafuu kwenye maeneo ya vijini ili kukabiliana na biashara ya kuuza mafuta kwenye vifaa visivyoruhusiwa kisheria.

Hayo yamebainishwa na meneja wa EWURA kanda ya kaskazini mhandisi Lorivini Long’idu katika semina kwa wadau mbalimbali Mkoani Manyara na kusema kuwa baadhi ya maeneo hasa ya vijijini yamekuwa yana upungufu ama ukosefu wa vituo vya mafuta hivyo kusababisha adha kwa watumiaji wa vyombo vya moto na katika kutatua changamoto hiyo EWERU imeamua kuja na njia mbadala.

Semina  hiyo iliyofunguliwa Novemba 28,2019 na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh. Elizabeth Kitundu na kuwataka  watendaji wa kata,mitaa na vijijini ,maafisa  biashara na waandishi wa habari kushirikiana na EWURA ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za umeme,maji na gesi ya kupikia katika Wilaya ya Babati.

 “Kutokana na hali hii mamlaka inakuja na mfumo mpya wa vituo vinavyotembea kwa sababu ya uhaba wa mafuta kwa maeneo yasiyo na vituo hivyo hasa ya vijijini na hii itasaidia kupunguza tatizo hili”amesema Long`idu .

EWURA imekuwa na utaratibu wa utoaji wa elimu na semina kwa jamii juu ya mambo mbalimbali ambapo piua imekuwa ikitahadharisha uuzaji na usafirishaji wa mafuta kwa kutumia vyombo vya moto usio rasmi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.