• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Karibu Manyara Mhe. Makongoro Nyerere!!!

Imechapishwa Tarehe: May 22nd, 2021

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana Musa Missaile amewaongoza Wakuu wa Wilaya wote wa Mkoa wa Manyara,Kamati ya Usalama ya MKoa na  watumishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa kumpokea Mkuu wa Mkoa mpya wa Mkoa huo Mheshimiwa Makongoro Nyerere alipowasili rasmi leo Jumamosi kuanza kazi rasmi.

Baada ya mapokezi hayo Katibu Tawala alimuongoza Mheshimwa Makongoro kuelekea katika Ofisi yake na kupata taarifa fupi juu ya mazingira ya Mkoa.

“Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa karibu sana Mkoani Manyara leo ni siku ya kukukaribisha tu ofisini lakini utapata muda wa kuongea siku ya jumanne katika shughuli rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kati yako na Mwenyeji wako Mheshimiwa Joseph Mkirikiti aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa” Alisema Katibu Tawala.

Mara baada ya mapokezi hayo Mhe.Makongoro Nyerere alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Salimia Suluhu Hassan kwa kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara na  aliwashukuru viongozi wote Pamoja na watumishi waliojitokeza kumpokea na kuwaahidi kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa bila kukwazana kwa namna yoyote.

“Pamoja na nafasi mbalimbali nilizowahi kushika katika uongozi lazima niseme sijawahi kuwa Mkuu wa Mkoa, kwa hiyo nategemea kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwenu na nitakuwa mtu wa kushirikiana na nyinyi kila sehemu ili kuhakikisha tunawaletea wananchi wetu maendeleo” Alisema Mhe. Makongoro.

Mheshimiwa Makongoro Nyerere ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara kuchukua nafasi ya Mheshimiwa Joseph Mkirikiti aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.