• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Katibu tawala Manyara akagua kampuni ya ufugaji samaki Babati

Imechapishwa Tarehe: February 14th, 2020

Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bwana Missaile Musa amemtembelea kampuni ya XIN  SI  LU kutoka Kichana inayowekeza katika uzalishaji wa samaki katika Kijiji cha Shaurimoyo kata ya Kisangaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara.


Akiawa katika ziara hiyo Katibu Tawala akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Bwana. Hamisi Malinga alijionea hatua mbalimbali za ukuzaji wa samaki mpaka anapofikia hatua ya kufaa kuliwa.

Akitoa maelezo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara  Msimamizi wa Kampuni hiyo alisema kuwa Kampuni hiyo imeanza kazi kuanzia Mwezi wa sita 2019 na mpaka sasa imetoa ajira za muda kwa watanzania ishirini na wachina wane.


“ Kampuni yetu mpaka sasa imesaidia jamii kwa kusafisha sehemu ya barabara kwa kutumia katapila la kampuni wakati wa kipindi cha mafuriko kwa wakazi wa Kisangaji na pia tunatarajia kutoa ajira za kudumu nyingi zaidi mara ujenzi utakapokamilika” Alisisitiza Msimamizi huyo.

Akimkaribisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Bwana Hamisi Malinga alisema kuwa ujenzi wa kampuni hiyo utasaidia kutoa ajira kwa  wananchi wanaozunguka eneo hilo na wengine kulingana na ujuzi walio nao na pia wananchi watapata ujuzi wa kufuga samaki na kuweza kuanzisha mabwawa ya samaki katika makazi yao na hivyo kuwaongezea kipato.


Mara baada ya kupata maelezo na kukagua mradi huo Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara aliwataka wawekezaji hao kuhakikisha wanafuata sheria za nchi na kujiepusha na uharibifu wa mazingira ikiwa ni pamoja na kuisadia jamii inayozunguka eneo hilo kwani utunzaji wa mazingira ni jukumu lao.

“Hakikisheni katika kipindi chote mtakachokuwa hapa mnafuata sheria za nchi yetu ikiwa na kuhakikisha wafanyakazi wote wasio watanzania wanakuwa na vibali vya kufanyia kazi, kutunza mazingira yanayolizunguka eneo hili pamoja na kuisadia jamii husika katika mambo ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kushiriki katika ujenzi wa shule, zahanati na shughuli nyingine za kijamii” Alisema Katibu Tawala.

Ujenzi wa mabwawa hayo ya samaki katika eneo hilo ni sehemu ya utekelezaji wa Tanzania ya viwanda ambayo itasaidia kuwezesha watanzania wengi kujikwamua na umasikini kwa kuajiriwa na wengine kujiajiri kwa kuangalia fursa mbalimbali zitakazopatina katika eneo hilo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.