• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

kikao cha maandalizi ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru 2023

Imechapishwa Tarehe: August 18th, 2023


Ni kikao cha 5  cha  maandalizi ya shughuliya kilele cha mbio za Mwenge  katika Mkoa wa Manyara  kilichoongozwa na Mh. Queen  Sendiga  pamoja na  Katibu Tawala Mkoa wa Manyara  Mh. Korolina  Mthapula  na  kamati nzima ya ulinzi na usalama  Mkoa wa Mayara  18.8.2023  katika ukimbi namba 83  ofisi za Mkuu wa Mkoa.

Katika  kikao hicho Mkuu wa Mkoa amepokea taarifa ya maendeleo ya miradi inayofanyika katika Halmashauri  hasa miradi ambayo itakayozinduliwana na ukaguliwa  na Mwenge wa uhuru. Hata  hivyo taarifa zote  kuhusu miradi inayoendelea  katika Halmashauri  hasa miradi itakayo kukaguliwa na Mwenge wa uhuru imeonyesha  iko katika hali ambayo ni nzuri na yenye kuridhisha.

Kila Halmashauri imewashirisha taarifa yake mbele ya Mkuu wa Mkoa na  vyombo vya ulinzi na usalama. Pia kamati zilizoundwa katika vikao vilivyopita nazo zimewasirisha taarifa za maendeleo katika kikao hicho ambapo kila kamati imeonyesha maendeleo ya maandalizi mazuri.

  Aidha Mkuu wa Mkoa  amesisitiza  juu ya uboreshaji wa miradi hiyo  inayoendelea katika Halmashauri. Katika  kikao hicho Mh. Queen Sendiga  amemkabidhi taarifa  ya maandalizi  kwa ujumla Katibu wa chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Manyara  ambae  pia alikuwa miongoni mwa wajumbe waliyo hudhuria katika  kikao hicho.

katibu wa chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Manyara amepongeza  kwa maandalizi  mazuri yanayofanywa na Halmashauri zote sanjari na hilo amemwambia Mkuu wa Mkoa kuwa  chama  cha mapinduzi kimeandaa vijana wapatao 400 ambapo kila Wilaya itatowa  vijana 50 kwajili yakutoa  hamasa  kwa watu.

 Pia ameeleza vijana hao watakaa kambi ya siku 3 kwaajili ya kufanya semina ya  mafunzo ya itifaki  ikiwa nikuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kilele cha mbio za Mwenge wa uhuru.

Mh. Queen Sendiga  amesisitiza juu uwaandaaji wa nyaraka za miradi  kuwa tayari  ametaka  nyaraka hizo zijumuishe na nyaraka za kimira ilikutambua  mradi kama uko kwenye eneo la Serikali.

Ametoa rai kwa  watendaji  na wakurugenzi kukutana na wananchi nakusikiliza kero zao  ilikutoweza kujitokeza  kwa mambango  ya kero za wananchi katika kilele cha mbio za Mwenge  suala ambalo linaweza kuwa ni dosari kwa  utendaji kazi kwa viongozi.

‘’Tunza  mazingira okoa vyanzo vya maji kwa ustawi wa viumbe hai na uchumi wa Taifa’’  ujmbe wa mbio za Mwenge mwaka 2023,

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.