• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mafunzo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Mkoa wa Manyara

Imechapishwa Tarehe: July 19th, 2023

Wizara ya fedha na mipango tarehe 18. julai. 2023  imeendesha  mafunzo  mafupi  kuhusu  Dira ya maendeleo ya Taifa  2050  katika  Mkoa wa Manyara.

  Ambapo kaulimbiu ya  mafunzo hayo  ni  ‘’shiriki katika kuijenga  Tanzania uitakayo’’  mafunzo  hayo yamefunguliwa na  Mh Queen Sendiga  Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

Katika ufunguzi wa mafunzo hayo  Mh Queen Sendiga  amewaeleza washiriki katika mafunzo hayo  lengo la mafunzo hayo nikupata uelewa  wakutosha  kuhusiana  na dira  ya maendeleo 2050,  Aidha amewambia washiriki  Dira hiyo  inagusa  maeneo yote  katika Taifa  hivyo  kuna ulazima wa kila mwananchi kuwa na uwelewa huwo.

Amewaambia washiriki mafunzo hayo nimpango  mahususi  katika  kuhamasisha  watanzania wote  na kuweka  wepesi  wakuweza kutumia  mawazo ya kila mwananchi,  Amewahakikishia  wataalamu waliyoendesha  mafunzo hayo  kuwa  uhamasishaji huwo   kwa Mkoa wa Manyara utashuka hadi katika ngazi  za wilaya na vitongoji.

Sambamba na hayo  Mkuu wa Mkoa  amewataka wakurugenzi  katika  Halmashauri zote za Mkoa  wa Manyara  kupeleka uhamasishaji huwo katika ngazi  za kata, ikiwa nikuwapatia taarifa za mafunzo hayo watendaji wa kata na wenye viti wa mitaaa  ili kila mtanzania awe na uwelewa wakutosha  kuhusu Dira  ya maendeleo ya Taifa  2050.

Aidha  mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mafunzo hayo (SoSthenes  Kewe)   kutoka wizara ya fedha na mipango  ameeleza kuwa kwasasa inatumika  Dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025,  Ambapo Dira hiyo ya 2025  ilikuwa nikuhakikisha  Taifa linaingia katika   uchumi wa kati  ambao unachagizwa na  kuboresha  hali ya maisha kwa mtanzania  kujenga utawala bora  kujenga uchumi imara na shindani.

Mjumbe huyo ameeleza  umuhimu  wakuleta mafunzo hayo katika ngazi ya Mkoa  ikiwa niutekelezaji  wa Dira    huku kiongozi  mkuu wa Dira hiyo ya mwaka 2050 akiwa ni  Mh Rais  Samia Suluhu  Hasani  huku  wenye dhamana wakiwa ni viongozi  wa Mkoa.

Katika mafunzo hayo  mjumbe huyo ametoa ufafanuzi katika Dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025, Akionyesha mafanikio makubwa  ikiwemo  kupanda  kwa pato la mwananchi. Kutoka  USD(dora za kimarekani)  338 kwa mwaka  2020  hadi  USD (dora za kimarekani) 1212 mwaka 2021 ambapo uchumi  wa Taifa ulikuwa kwa wastani wa  asilimia 6.

Aidha  Dr Sarema  mwenyekiti  wa jopo la wataalamu hao kutoka wizara ya fedha na mipango   katika  maneno yake ya shukrani  kabla ya Mkuu wa Mkoa kufunga mafunzo.

Amewashukuru washiriki  katika mafunzo hayo  huku akiwataka kila mmoja  kuwa na wajibu  wakutoa uhamasishaji huwo  kwa Mkoa wa Manyara  huku akisisitiza juu ya umuhimu wa watu wa Manyara kutoa maoni  kuhusu Dira hiyo ya maendeleo kwa Taifa 2050.

Pia Dr Sarema  amewaeleza washiriki kuwa  mafunzo hayo nisehemu  ya awamu ya kwanza  katika utoaji wa maoni  hivyo amewataka  kila mmoja  kujiandaa hasa katika taasisi  za kiserikali.

Akionyesha  umuhimu wa maoni  amewataka  watu wa Mkoa wa Manyara kutoa maoni yao  bila ya kutoa maoni yao  Mkoa wa Manyara  hakutakuwa na mabadiriko katika nyanja mbalimbali  kwenye mkoa.

          ‘’shiriki katika  kujenga Tanzania uitakayo’’


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.