• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

MANYARA YAZINDUA JUMUIYA YA MARIDHIANO

Imechapishwa Tarehe: October 4th, 2018

Jumuiya ya maridhiano ya amani  imezinduliwa rasmi leo tarehe 4 Oktoba ,2018 katika  Mkoa wa Manyara ambapo lengo la jumuiya hiyo iliundwa kwa maslahi ya Wananchi na  serikali ili kuleta amani kwa taifa zima na lengo kuu la mkutano huo na jumuiya kwa ujumla ni kuona na kuhakikisha amani inadumishwa ili kuleta maendeleo. 

 Akitoa hotuba katika kikao hicho Katibu wa jumuiya ya maridhiano ya amani Tanzania Askofu Oswald Herman Mlay alisema kuwa “amani haiwezi kujengwa kwa vita,migogoro na hata mauaji hivyo ni jukumu letu kuhakikisha amani ya mkoa huu inalindwa pamoja na taifa zima lakini pia ni jukumu letu viongozi wa dini na  Serikali kuhakikisha amani inakuwepo baina yetu kwani chombo hiki ni daraja kati ya Wananchi" alisistiza

Aidha katika ufunguzi huo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti alisema “sisi kama serikali ya Mkoa tunawashukuru sana viongozi wa dini kwani wanafanya kazi kubwa ndani ya mkoa wetu kuhakikiasha amani inakuwepo na hatuna mashaka na  tumeuona umuhimu na msingi wa jumuiya hii na tumeipokea kwa dhati na tuko tayari  kutoa ushirikiano" Alisisitiza.

 Hivyo tunawaomba viongozi wa dini kuzidi kutoa elimu za kidini na kimaadili na kukemea vitendo vya mauaji ya walemavu wa ngozi (albino),ndoa za utotoni na mimba za utotoni na migogoro ya ardhi ili amani izidi kutawala kwa ngazi ya mkoa hata taifa kwa ujumla.

(Kwa Picha mbalimbali angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na Isabela Joseph (UDSM-Mafunzo kwa Vitendo)


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.