• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI YAFANA

Imechapishwa Tarehe: August 8th, 2018

Maonesho ya Nanenane mwaka 2018 Kanda ya Kaskazini yalifanyika Mkoani Arusha katika viwanja vya Themi kuanzia tarehe moja yamefungwa rasmi leo tarehe 8/8/2018 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Mh.Jenista Mhagama.

Mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo Mheshimiwa Waziri akiongozana na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Mrisho Gambo alitembelea mabanda mbalimbali ya kilimo na mifugo na kujionea bidhaa zitokanazo na kilimo na mifugo.

Akiwakaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana Missaile Musa aliwashukuru waoneshaji waliojitokeza kuonesha bidhaa zao katika viwanja hivyo na kuwataka wawekezaji hasa katika sekta ya kilimo na ufugaji kuja katika mikoa ya Manyara,Arusha na Kilimanjaro kwani kuna maeneo mengi ya uwekezaji.

Akimkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Anna Mghwira alimshukuru Mgeni rasmi kwa kukubali kwake kuhudhuria tena kuja kufunga maonesho hayo kwa mara ya pili mfululizo na kuwataka wananch kujifunza yale yote wanayoyaona kwenye viwanja hivyo na kuyapeleka kwenye Halmashauri zao,mashambani na kwenye makazi yao ili kuwaletea maendeleo.

Akihutubia wataalam,Wakulima,Wafugaji,Wavuvi,Wajasiriamali na Wananchi mbalimbali waliohudhuria aliwashukuru kwa kujitokeza kwao na kuwataka kuiuinga mkono Serikali katika juhudi za kuleta maendeleo kwa wananchi bila ubaguzi wa aina yoyote kwa kilimo,mifugo na uvuvi ni sekta ambazo zinachangia ajira kwa asilimia zaidi ya 65 kwa watu wote na pia inachangia uwepo wa chakula na shughuli mbalimbali za sekta ya kilimo, misitu na mifugo zimeongezeka kwa asilimia 3.6  mwaka 2017 kulinganiha na asilimia 2.9 kwa mwaka 2016. Pia alisema kuwa Sekta ya kilimo ilichangia pato la Taifa kwa  asilimia 30.1 mwaka 2017   ukilinganisha na asilimia 29.2 kwa mwaka 2106.

“Ni lazima Serikali,na wadau kuipa sekta ya kilimo kipaumbele sekta ya kilimo” Mh.Waziri alisistiza.

Katika kuhakikisha Serikali inongeza tija tija kwa wafugaji serikali imezifuta tozo zilizokuwa kero kwa wafugaji, wakulima na wavuvi ili sekta sekta hiyo ilete tija kwa kwa Nchi.

Mhiushimiwa Waziri aliwataka wakulima,wafugaji na wavuvi kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu tano za kuboresha sekta hiyo.

Kauli mbiu ya Mwaka huu ni “Wekeza katika Kilimo,Ufugaji na Uvuvi kwa maendeleo ya Viwanda”

(Kwa Picha mbalimbali za matukio ya Nanenane angalia Kituo cha Habari kisha nenda  Maktaba ya Picha)

Imeandikwa Na:Haji A.Msovu (Afisa Habari Mkoa wa Manyara)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.