• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Maonesho ya Sikukuu ya Nane nane Mikoa ya Kanda ya Kaskazini

Imechapishwa Tarehe: August 9th, 2023

Tarehe 8. 8. 2023  ni sikukuu ya  ya wakulima inayofanyika kila mwaka. Sikukuu hiyo  kwa mwaka 2023 imefanyika kikanda  ikijumuisha mikoa ya  Arusha  Kilimanjaro  pamoja na  Mkoa wa  Manyara mikoa ambayo inakamilisha   ujumla wa mikoa ya ukanda wa kaskazini.  

Mkuu wa  Mkoa wa Manyara   Mh Queen  Sendiga  amewaongoza  maelfu ya  wakazi wa Mkoa wa  Arusha  katika kilele cha  maadhimisho  ya  sikukuu ya  wakulima.

Kilele  cha maadhimisho ya sikukuu ya wakulima  kwa mwaka 2023 kimefanyika kikanda katika Mkoa wa Arusha kwenye viwanja vya  Themi  jijini  Arusha.

Ambapo  Mh Queen Sendiga  akiwa  ndiye mgeni rasimi  watukio hilo kubwa, sambamba na hilo Mkuu  huyo wa Mkoa wa Manyara ametembelea  mabanda ya maonyesho pamoja na kuhutubia umma  uliyojitokeza.

Amewataka wadau na wananchi kutumia  fursa  zilizopo katika kilimo cha umwagiliaji  ilikukabiliana na mabadiriko ya tabia ya nchi. katika tukio hilo Mkuu wa Mkoa wa Manyara  ametoa rai kwa  wataalamu na  maafisa wa kilimo  kuyafikia makundi ya wanawake vijana na wananchi kwa ujumla ilikuwaongeza elimu na ufanisi  katika shughuli za kilimo  na ufugaji.

Aidha  ameeleza  kuwa Serikali imeendelea  kutekeleza miradi ya umwagiliaji kwenye ukanda wa mikoa ya kaskazini yenye thamani ya jumla ya Bilioni 47.64. vile vile  ameeleza mpango wa Serikali kujenga visima 150 kwa kila Halmashauri  ilikuleta mapinduzi katika Sekta ya umwagiliaji.

 Pia Mh  Queen Sendiga   ameongeza  siku  mbili zaidi kwa maonyesho hayo kuendelea katika viwanja  hivyo  baada  ya kuridhishwa na  maonyesho kwa wakulima, wananchi  na wanafunzi waliyojitokeza kujifunza  kupitia  maonyesho  hayo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.