• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa MKoa Queen Sendiga afanya Ziara Babati Mjini na Vijijini

Imechapishwa Tarehe: September 15th, 2023

Na Phabian Isaya

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga amefanya ziara ya ukaguzi wa Zahanati ya Secheda iliyopo kata ya Secheda ambapo walipokea fedha za ujenzi wa Zahanati hiyo na ujenzi ulianza mwezi wanne 2023.Ujenzi huo mpaka sasa umefikia hatua yenye kuridhisha. Amefurahishwa na mwenendo wa mradi huo.

Aidha  ameongeza  kuwa Ujenzi wa Zahanati hiyo utawasaidia  kata ya Secheda na vijiji vyake mradi huo ukikamilika na amewapongeza wananchi  kwa  kuchangia  million 47 katika ujenzi  huo hiyo ni hatua nzuri katika maendeleo.Amewataka kuendelea na moyo huo  kujitolea kwa miradi mingine ya maendeleo itakaletwa katika kata hiyo.Pia amewapongeza wananchi wa Secheda kwa kushiriki kujenga madarasa manne kwa nguvu zao mwenyewe.

Vilevile Mhe. Queen Sendiga  amefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule ya Sekondari  Secheda  iliyopo katika  kata ya  hiyo. Ambapo shule ya Sekondari Secheda  ilipokea  fedha  kwaajili ya ujenzi tarehe 30/6/2022 kiasi cha cha fedha  Sh Milioni 584  ambapo mradi ulianza  14/7/2023 wananchi pia wamechangia katika mradi huo wa ujenzi wa shule hiyo.

 Sambamba na hilo Mhe.Queen Sendiga ametembelea eneo la Ushoroba (sehemu ya kupitia wanyama) iliyopo kata ya Nkaiti wilaya ya Babati Vijijini. Ambapo amewataka mamlaka husika katika hifadhi hizo kuweka mipaka ili kutoleta migogoro katika maeneo hayo ya hifadhi ya Tarangile na Manyara.

Pia Diwani wa Kata ya Nkaiti amewashukuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na wataalam wake kwa kutembelea eneo hilo, ameanisha uwepo wa uvamizi wa tembo katika vijiji jirani katika eneo hilo la Ushoroba.Aidha Mkuu wa Mkoa amesisitiza juu ya ushirikiano ili kujua wavamizi na ambao sio wavamizi katika eneo hilo.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.