• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga amefanya kikao na madereva Boda boda na Mama lishe.

Imechapishwa Tarehe: September 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa  wa  Manyara Mhe. Queen Sendiga  amekufanya  kikao na Bodaboda na mama Lishe { wajasiliamali } katika Ukumbi  wa  Whiterose  Babati. Kikao hicho kimeudhuriwa  na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara  Mhe. Karolina Mthapula,  Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe Lazaro  Twange, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Pendo  Mangali  pamoja  na Wakuu wa Vyombo  vya  Ulinzi  na Usalama.

Mhe. Queen  Sendiga  amefanya kikao hicho ili kuwafahamisha juu ya maandalizi ya sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,Kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere pamoja na  maonesha  ya wiki ya vijana Kitaifa. Ambapo amewahimiza juu ya hutoaji wa huduma bora kwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria katika matukio hayo ya kitaifa.

Aidha  Mhe. Sendiga  amewasisitiza  kutumia fursa hiyo adimu kwa  kuboresha mazingira  ya hutoaji  huduma zao ikiwa ni Bodaboda kuwa wasafi, kuendesha vyombo vya moto kwa uangalifu na mama lishe kuzingatia usafi wakati wa kuandaa chakula.

Pia katika kikao hicho ametoa kiakisi mwanga { reflactor} kwa  ajili ya madereva  wa bodaboda na bajaji kwa usalama wao pindi wanapokuwa barabarani,vilevile amewataka madereva wa bodaboda kuwa na ushirikiano wa kutosha  kwa kutoa taarifa pindi wanapoona dalili za watu wasio wadalifu wakati wa matukio hayo kwani kutakuwa na mwingiliano wa watu wengi.

Sambamba na hilo Mkuu wa Mkoa amewaruhusu madereva wa bodaboda,bajaji pamoja na mama lishe kuingia ndani ya uwanja wa Kwaraa ili kujionea  jinsi ya shughuli za Ujenzi wa Uwanja huo unavyoendelea  na kuwaomba kuutunza pindi utakapokamilika.Ameongeza kuwa uwanja huo ni mali ya wananchi wa Mkoa wa Manyara

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.