• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga ametembelea kiwanda cha Mati Super Brand Manyara

Imechapishwa Tarehe: September 16th, 2023

Na Phabian Isaya

Mkuu  wa  Mkoa wa Manyara  Mhe. Queen  Sendiga  leo terehe 16/9/2023 ametembelea kiwanda na  Ofisi  za kampuni ya Mati Super Brand zilizopo  kata ya Bagala. Mhe. Queen  Sendiga amepokelewa na Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni hiyo  Bw. David  Damian Mulokozi . Ameangalia  jinsi  shughuli za uzalishaji  wa  bidhaa  za Mati Super  Brand  sambamba na hilo Mkuu wa Mkoa wa Manyara ametembelea ofisi  za vitengo mbalimbali  ikiwemo  kitengo cha ugavi na manunuzi  pamoja na uhasibu.

Kampuni  ya Mati Super Brand  imeajiri watu 312 ambapo  wenye  ajira rasmi ni watu 124 Mkuu wa  Mkoa  wa Manyara  amefurahishwa namna kampuni hiyo ilivyowaajiri watu wengi   wa Mkoa wa Manyara, Pia amesisitiza  kampuni hiyo kuongeza  uzalishaji zaidi ilikuweza  kutanuwa  wigo wa uwekezaji zaidi.

Vilevile ameshukuru  kwa  uwekezaji mkubwa  ambao kampuni hiyo  imeufanya  nakuajiri  wazawa wengi  kutoka  Mkoa wa Manyara. Aidha amefurahishwa  kuona  kampuni  ikimilikiwa na watanzania  nakuweza  kuleta  mchango mkubwa  katika mambo mengi ya kijamii na amewashukuru  kwa  mchango wao katika shughuli ya Kilele cha Mbio za Mwenge  wa Uhuru.

Ameeleza  kuwa  tarehe 10/10/2023 Mkoa wa Manyara utafanya  uzinduzi  wa  jarida  la uwekezaji katika  Mkoa  amewakaribisha  wawekezaji  kuwekeza katika Mkoa wa Manyara. Aidha  ameeleza  jinsi  ambavyo  Serikali imeweka  mazingira rahisi na rafiki kwa wawekezaji  ameahidi kutoa ushirikiano  wakutosha  na  kampuni  ya Mati Super Brand.

Mkurugenzi  Mtendaji  wa  kampuni ya Mati Super Brand ameshukuru  kwa ujio wa Mkuu wa  Mkoa  katika Ofisi za kampuni hiyo ikiwa nikuonyesha Serikali ya Mkoa wa Manyara inatambua mchango wa kampuni hiyo. Ameahidi kutanuwa  wigo zaidi  ilikuongeza ajira  katika kampuni hiyo afurahishwa na mazingira mazuri  ya uwekezaji  yanayowekwa na Serikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.