• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga ameweka jiwe la msingi katika shule mpya Awali na Msingi

Imechapishwa Tarehe: September 15th, 2023

Na Phabian Isaya

Mkuu wa  Mkoa wa  Manyara  Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akiwa katika ziara yake ameweka jiwe la msingi Shule ya mpya ya Awali na Msingi Queen Cuthbert  Sendiga  kata ya Maisaka Halmashauri ya Mji wa Babati. Ambapo shule hiyo ni mradi wa BOOST  wa kuimarisha na kuboresha elimu ya Awali na Msingi hapa Mradi huu unatekelezwa nchini kwa muda miaka 5 hivyo kukamilika mwaka 2025/2026 na umelenga kunufaisha miundombinu ya elimu kwa madarasa ya Awali na Msingi.

Pia Mhe.Sendiga amapanda miti katika Shule mpya ya Queen Sendiga kwa lengo la kuimarisha mazingira na kufanya muonekano mzuri wa shule hiyo ya awali na Msingi.Pamoja na kukagua majengo ya ofisi,madarasa na vyoo vya shule hiyo. Amewapongeza wataalam na viongozi wote waliosimamia mradi huo.

 Aidha Mhe. Sendiga amesema kuwa Mkoa wa Manyara umepokea fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya uboreshaji wa huduma za maji,umeme,barabara pamoja na vituo vya afya katika halmashauri zote zilizopo Mkoa wa Manyara.

 Vilevile Mhe. Queen Sendiga amewataarifu wananchi kuwa Mkoa wa Manyara ni miongoni mwa Mikoa ya kimkakati katika uwekezaji katika sekta ya madini,kilimo na utalii ambapo amewaelezea kuwa Mkoa wa Manyara utafanya uzinduzi wa jarida maalum la uwekezaji terehe 10/10/2023.

Sambamba na hayo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga  amefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule maalum ya Sekondari michepuo ya Sayansi kwa  wasichana ya Mkoa wa Manyara.Katika ukaguzi wake ameonyeshwa michoro ya majengo  katika ujenzi wa shule hiyo. Amefanya ukaguzi wa miundo mbinu ya maji ambayo itasaidia  kutatua kero ya maji kwa wanakijiji wa kiongozi.

 Pia ujenzi wa shule hiyo ni fursa kwa wakazi wa Kijiji cha Kiongozi katika ajira ambapo amesisitiza vijana katika kijiji hicho wapewe kipaumbele, wanawake wajasiriamali watumie vizuri fursa hiyo.Na ameomba eneo kwa Mwenyekiti wa kijiji kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.