• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya Kikao na Wakuu wa Taasisi za Serikali.

Imechapishwa Tarehe: September 19th, 2023

Mkuu  wa  Mkoa wa Manyara  Mhe. Queen Sendiga   amefanya  kikao  na wakuu  wa Taasisi  za  Kiserikali  zilizoko  Mkoa  wa  Manyara. Ambapo kikao hicho  kimeongozwa na Mhe. Queen Sendiga  na  Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa  wa  Manyara  Mhe. Dominic  Mbwete  katika  Ofisi  za Mkuu wa Mkoa.

Amewakumbusha  kuwa  wote  ni  watumishi   wa  Umma  na  kila  mmoja  ana umuhimu  wake na amewataka  kuwajibika  pamoja nakushirikiana katika shughuli mbalimbali. Aidha amewaeleza  kuwa kushindwa  kutekeleza majukumu  kwenye Taasisi  husika ni kushindwa kuleta maendeleo  katika Mkoa  wa  Manyara.

Vilevile  ameeleza  juu  ya uwepo  wa  changamoto  mbalimbali  katika  kutatua  au kutoa huduma kwa wananchi  katika Taasisi hizo miongoni  mwa changamoto hizo ikiwa ni suala la upatikanaji  wa  Bima  ya Afya  kwa  wanafunzi  mashuleni, migogoro ya Ardhi na huduma ya maji. Ametaka  kila Taasisi iwajibike  kikamilifu.

Aidha amesisitiza utoaji wa huduma bora kwa wananchi  sambamba na hilo amewashukuru  wakuu wa Taasisi  kwa kushiriki kikamilifu  katika shughuli za maandalizi ya sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa  Uhuru  ikiwa  ni pamoja na kushirikiana  na Ofisi ya Mkuu wa  Mkoa  kwenye  masuala mbalimbali yanayo husisha maandalizi hayo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.