• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mkirikiti amkabidhi Makongoro Ofisi rasmi

Imechapishwa Tarehe: May 25th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mheshimiwa Makongoro Nyerere leo amekabidhiwa rasmi ofisi na analiyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Joseph Mkirikiti katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara.

Akitoa hotuba kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mheshimiwa Mkirikiti ambaye amehamishiwa mkoani Rukwa amewashukuru wananchi wa Manyara kwa ushirikiano wao kwa kipindi kifupi alichokuwa kama Mkuu wa Mkoa huo.

“Napenda kuwashukuru wananchi wote wa Manyara kwa kushirikikiana na mimi katika kipindi change chote cha Ukuu wa Mkoa wa Manyara Pamoja na kuwa mimi ndiye  nilikuwa Mkuu wa Mkoa niliyekaa kwa muda mfupi kuliko Wakuu wa Mikoa sita waliowahi kukaa Manyara” Alisema Mhe. Mirikiti.

Akionekana mwenye furaha san Mheshimiwa Mkirikiti alimpongeza Mhe.Makongoro Nyerere kwa kuteuliwa kwake kuwa miongoni wa Wakuu wa mikoa wa yenye eneo kubwa la kiutawala na kumtaka kushirikiana na makundi yote kuanzia ofisini hadi ngazi ya chini ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Manyara.

Pia alimueleza Mhe.Makongoro kuwa Mkoa wa Manyara kiasili ni mkoa wa wakulima na wafugaji kwani asilimia themanini na tatu ya uchumi wa Manyara unategemea kilimo na ufugaji na asilimia saba tu ndio shughuli zingine.

Kwa upande wake Mheshimiwa Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara alimshukuru Mheshimiwa Mkirikiti kwa kuja kumkabidhi kijiti cha uongozi na kumuahidi kuchapa kazi kwa ushirikiano mkubwa pamoja na kuwa hajawahi kuwa Mkuu wa Mkoa.

“Mhe. Mkirikiti mimi sijawahi kuwa Mkuu wa Mkoa ila nakuahidi kundeleza yote mema uliyoyaacha kwa kushirikiana na wasaidizi wangu kuanzia hapa ofisini hadi ngazi za chini na katika kipindi change cha uongozi sitegemei ubaguzi wa aina yoyote” Alisema Mhe. Makongoro Nyerere.  

Mara baada ya makabidhiano hayo Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana Musa Missaile pamoja na kumtakia kazi njema Mheshimiwa Mkirikiti huko aendako na kumuahidi ushirikiano Mheshimiwa Makongoro Nyerere aliwakabidhi viongozi hao zawadi mbalimbali ili kuweka historia ya ushirikiano na Viongozi hao.

Mheshimiwa Makongoro Nyerere amekabidhiwa ofisi leo baada kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara kuchukua nafasi ya Mheshimiwa Joseph Mkirikiti aliyehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.


Picha za matukio angalia kwenye maktaba ya picha.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.