• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mkirikiti asifia ujenzi wa vyoo Simanjiro

Imechapishwa Tarehe: November 23rd, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti ameupongeza uongozi wa Kijiji cha Ngage kata ya Naberera wilayani Simanjiro kwa ujenzi wa vyoo bora ambavyo vitasaidia kuzuia magonjwa ya mlipuko

Mkuu wa Mkoa ametoa pongezzi hizo leo alipokuwa anatembelea na kukagua miradi ya Elimu ya EP4R na ujenzi wa vyoo bora Shule ya Msingi Ngage na kuzitaka kamati zote za ujenzi Mkoani Manyara kuiga uj

"Tangu nimeanza kutembelea kukagua miradi kwa kweli huu ni mradi bora sana, naziagiza Halmashauri zote zilizopo katika Mkoa wangu kuiga na kujenga vyoo bora kama hivi"Alisema Mhe.Mkuu wa Mkoa.

Pamoja na kuziagiza kamati zote za ujenzi kujenga vyoo bora ili wanafunzi kujiepusha na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu lakini pia Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa alimpongeza Mwalimu wa usafi shuleni hapo Bi. Plaxidia Stanslaus kwa usimamizi mzuri wa kuhakikisha vyoo vinakuwa safi muda wote.

Choo bora kilichojengwa katika shule ya Msingi Ngage.

Mkuu wa Mkoa kabla ya kutembelea shuke ya Ngage katika Wilaya ya Simanjiro alitembelea pia Shule ya Msingi Tanzanite,Songambele na Jitegemee kwa kukagua ujenzi wa madarasa na vyoo,katika Shule ya Jitegemee alifurahishwa na ujenzi wa madarasa katika shule hiyo na kuwataka wanafunzi katika shule hiyo kuhakikisha wanatunza miundombinu iliyopo ili iweze kuwasaidia Wanafunzi wengine kwa miaka mingi ijayo.

Hili ni miongoni mwa Darasa linalojengwa shule ya Msingi Jitegemee iliyopo Mirerani wilayani Simanjiro.

Pia Mheshimiwa Mkirikiti alipata nafasi ya kutembelea shule ya Msingi Losonokoi na kukagua ujenzi wa madarasa manne unaoendelea katika shule hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti akikagua daftari la Mwanafunzi shule ya Msingi Losonokoi wilayani Simanjiro.

Pamoja na kutembelea miradi ya ujenzi wa vyoo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa pia aligawa mpira wa miguu mmoja kwa kila shule aliyopita ili kukuza vipaji vya watoto katika Wilaya hiyo na kumwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Bwana Yefred Myenzi kupeleka Mpira ya  pete katika shule hizo.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti akimkabidhi Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Songambele iliyopo Mirerani wilayani Simanjiro.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa yupo kwenye ziara ya kukagua miradi ya Elimu Mkoani humo na kesho atatembelea Wilaya ya Kiteto.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Songambele wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti (Hayupo pichani)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.