• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

MNYETI: Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa tatueni Matatizo ya wananchi sio kulalamika

Imechapishwa Tarehe: January 15th, 2020

Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza na Wenyeviti na watendaji wa Mitaa na vijiji, amewataka kuacha tabia ya  kulalamika kwa viongozi pindi wanapofika kwenye maeneo yao, na badala yake wawe wa kwanza kuzitatua changamoto hizo kwa kuwa wao na yeye wanafanya kazi .

Ametoa agizo hilo wakati akizungumza na Viongozi hao kutoka wilaya na Halmashauri zote za mkoa wa Manyara,kikao kilichofanyika katika uwanja wa ofisi ya mkuu wa mkoa mtaa wa Komoto Babati mjini.

Baadhi ya Maafisa Tarafa, watendaji wa kata, Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji, Watendaji wa Mitaa na Vijiji kutoka Mkoa wa Manyara wakiwa katika Mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Manyara uliofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Januari 14, 2020.

Aidha, Mnyeti amesema hafurahishwi kusikia malalamiko ya mara kwa mara anayokutana nayo kutoka kwa wananchi wakati anapokuwa kwenye ziara mbalimbali za kikazi  mkoani mwake, huku matatizo mengi yakiwezekana kutatulika katika ngazi za Kijiji au Mtaa.

Akiwashauri Wenyeviti hao njia bora ya kuwahudumia wananchi na kuondoa migogoro ya ardhi, Mnyeti aliwataka waache tabia ya kuuziana maeneo bila kufuata taratibu na ushauri wa mtendaji pamoja na kuepuka kuuza maeneo ya wazi yaliyotengwa kwa ajili ya shuguli mbalimbali za kijamii.

Amesema kila kiongozi akitimiza wajibu wake kama inavyopaswa mkoa wa Manyara hautakuwa na migogoro isiyo na maana.

Baadhi ya Maafisa Tarafa, watendaji wa kata, Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji, Watendaji wa Mitaa na Vijiji kutoka Mkoa wa Manyara wakiwa katika Mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Manyara uliofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Januari 14, 2020.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.