 Imechapishwa Tarehe: November 7th, 2017
 
            Imechapishwa Tarehe: November 7th, 2017
Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara ikiwa kwenye hatua ya upauji, Mafundi wakiendelea na shughuli zao kama kawaida kuhakikisha mradi unakamilika ndani ya muda na kwa kiwango kinachotakiwa chini ya Usimamizi wa Mhandisi wa Majengo Ndugu. Domician Kirina (tarehe 7 Novemba, 2017).
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.