• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

NAIBU WAZIRI WA ELIMU ATOA AGIZO HALMASHAURI KUKAMILISHA MIRADI.

Imechapishwa Tarehe: October 12th, 2018

Naibu Waziri Mh.William Ole -Nasha ametoa agizo hilo kwa Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinakamilisha miradi ambayo fedha zake zilitolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu ya kielimu.

Mh.Ole-Nasha alitoa agizo hilo katika Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Mji wakati akikagua mradi wa ujenzi wa mabweni, madarasa na vyoo katika shule ya sekondari ya Chief Sarwatt  iliyopo katika Kata ya Endagikot ambapo mradi huo wa ujenzi haujakamilika na fedha za serikali kuwa zimekishwa. Mh. Waziri alitoa rai viongozi wa serikali pamoja na kamati ya ujenzi wa shule hiyo kuhakikisha mradi huo unakamilika ndani ya miezi mitatu tu.

“kwasababu wataalam wa Halmashauri ndio wametuchelewesha kukamilisha  mradi  ni lazima muhakikishe fedha inapatikana ili mradi ukamilike,ikiwemo kuwahamasisha wananchi kuwaunga mkono kwa kuchangia fedha za ujenzi ili majengo hayo yatumike kwa kwakati kama wizara ilivyoelekeza” alisisitiza Mh.Waziri

Aidha alisema kutokufuata maelekezo ya wizara kunachelewesha miradi mingi kutokamilika na fedha kutumika vibaya na hii  husababisha kutikidhi mahitaji ya wanafunzi wengi kwawakati mmoja. Vile vile alipotembelea shule ya sekondari Gehandu ambayo ujenzi wake ulikuwa unaanza alitoa rai kwa viongozi pamoja na kamati ya ujenzi kuhaikisha makosa hayafanyiki tena kama ilivyotokea katika miradi mingine na pia aliwasifu wananchi wa eneo hilo kuwa na wapaenda maendeleo kwani sehemu kubwa ya ujenzi ni nguvu za wananchi.

Akiunga hoja ya Mh.Ole-Nasha  Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestine Mofuga  ameahidi kuwa sehemu ya kamati hiyo ya ujenzi na kuhaidi kutoa msaada wa kimawazo na ushauri ili makosa yasitokee na kuchelwesha mradi kukamilika na kuahidi kufanya vikao na wahandisi pamoja na wakandarasi ili kuhakikisha fedha zilizoletwa na serikali katika mradi huo zinatumika kama Wizara ilivyoelekeza kwa kufuata ramani na michoro ya majengo ambayo yatakidhi viwango vya ubora na mahitaji ya wanafuzi kutokana na idadi yao.

Naibu Waziri pia alitembelea chuo cha maendeleo ya wananchi (TANGO) ambacho kiko katika mpango wa serikali wa awamu ya tatu ya kukifanyia ukarabati wa majengo,miundombinu pamoja na vifaa vya kujifunzia aliwataka wanafunzi kuwa wavumilivu na serikali yao iko pamoja na wao ili kuhakikisha chuo hicho kinakidhi viwango kama vyuo vingine,na kuwasihi kuwa na bidii uwajibikaji uzalendo na kujijengea dhana ya kujiajiri  ili kuendana na soko la ajira katika kipindi cha karne ya sayansi na teknolojia.  

 

(Kwa Picha mbalimbali angalia Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na Isabela Joseph (UDSM-Mafunzo kwa Vitendo)


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.