• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

OR-TAMISEMI YATOA AJIRA ZA WALIMU 4840

Imechapishwa Tarehe: July 17th, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametangaza ajira za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zipatazo 4840 ikiwa ni sehemu ya kibali cha ajira cha kuajiri walimu 6840.

Akitangaza ajira hizo katika Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo Magogoni Dar es salaam Mhe. Jafo alisema katika kibali hicho kilichotoka Mei 30,2018 kilitoa nafasi ya kuajiri walimu 4785 wa Shule za Msingi, 55 Mahitaji Maalumu na  2000 ni Walimu wa Sekondari wanaofundisha masomo ya sayansi kwenye shule za Sekondari ambao mchakato wake bado unaendelea.

Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari Mhe. Jafo amesema kuwa “Walimu tunaotangaza vituo vyao vya kazi leo ni wale waliotuma maombi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mwezi Dec 2017 na Walimu 2767 walipangiwa vituo vya kazi mwezi Januari 2018 na hawa tunaotangaza leo ni miongoni mwa walimu wenye sifa waliokosa nafasi kwa kipindi hicho cha mwaka 2017”.

Pia amewataka walimu wote waliopata nafasi kuripoti katika vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 23 Julai, 2018 hadi tarehe 7 Agosti 2018  wakiwa na vyeti halisi vya Taalumu vya Kidato cha Nne/Sita, vyeti halisi vya mafunzo ya ualimu katika ngazi husika pamoja na  cheti halisi cha kuzaliwa.

Aidha Waziri Jafo ametoa maelekezo Maalumu kwa Walimu wote waliopangiwa vituo vya kazi kuwa Vituo vya kazi vya walimu hao ni katika shule za msingi na sekondari na sio Makao Makuu ya Halmashauri na mwajiriwa yeyote atakayeripoti na kuchukua posho ya kujikimu kisha akaondoka katika kituo chake cha kazi alichopangiwa Serikali itamchukuliwa hatua kali kwa mujibu wa Sheria.

Alisisitiza kuwa hakuna mwalimu atakayekubadiliwa kubadilishiwa kituo kwa sababu yeyote ile na kila mwajiriwa aatakayeshindwa kuripoti katika kituo chake kwa muda uliopangwa nafasi zao zitachukuliwa na Walimu wengine 5,220 wenye sifa ambao  bado wamekosa nafasi za ajira katika awamu hii.

Orodha ya majina ya Walimu waliopangiwa katika Vituo vya Kazi kwenye Shule za Msingi na Sekondari yanapatika kwenye Tovuti ya Ofisi ya Mkoa wa Manyara www.manyara.go.tz. Sehemu ya Matangazo.

Imeandikwa na: Haji A.Msovu(Afisa Habari Mkoa wa  Manyara)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.