• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

RC Sendiga arejesha Mifugo zaidi ya 800 iliyokuwa imekamatwa na Hifadhi ya Tarangire.

Imechapishwa Tarehe: January 16th, 2024

Leo Januari 16, 2024 RC Sendiga akiwa katika kijiji cha Kimotorok Wilayani Simanjiro katika ziara yake maalumu ya kikazi ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi, ametatua mgogoro uliokuwepo kati ya Wananchi wa Kijiji hicho  na Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuachia Mifugo zaidi ya 800 ikiwemo Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo iliyokua imeshikiliwa na uongozi wa hifadhi baada ya wafugaji kuingiza mifugo hifadhini.

Katika ziara hiyo, Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaagiza viongozi wa ngazi mbalimbali kusimamia makubaliano na maelekezo ambayo yanapitishwa na Serikali au vikao na kuwaambia wananchi ukweli pasipo kuwaficha ili wapate uelewa juu ya maamuzi na maelekezo mbalimbali yanayotolewa ili kuepusha migogoro isiyo na tija.

Aidha, RC Sendiga ametoa maelekezo kwa uongozi wa hifadhi ya Tarangire kuwaacha Wananchi waendelee kupata huduma za mifugo yao ambazo bado zinapatikana katika hifadhini humo kama vile sehemu za kunyweshea mifugo na kuwataka wananchi hao kuendelea kutii sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa na pia kuwataka wahifadhi kujizatiti zaidi katika utoaji wa elimu na kuboresha mahusiano kati yao na Wananchi.

Sambamba na hilo RC Sendiga amewajulisha Wananchi wa Kimotorok na kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi Milioni 300 kwajili ya uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu na Afya kijijini humo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.