• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

SEMINA KWA WANAHABARI MKOANI MANYARA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Imechapishwa Tarehe: April 21st, 2018


"Saratani ya mlango wa kizazi ni tatizo kubwa kwa akina mama ambao bado wana uwezo wa kubeba ujauzito" amesema mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr. Damasi Kayera alipokuwa akifungua semina kwa wanahabari Mkoa wa Manyara juu ya Chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wenye miaka kumi na nne (14) mnamo April 20, 2018.

Aidha katika Semina hiyo wana habari toka katika taasisi  mbalimbali walihudhulia ili kushiriki Semina hiyo. Na lengo mahususi ilikuwa ni kuwajengea  uwezo wanahabari  hao ili waweze  kuwa mabalozi kwa wananchi  na kuwaelimisha  juu ya umuhimu wa chanjo hiyo.

Malengo mahususi ya Semina

Dr. Damasi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara ameongeza kusema kuwa baada ya semina hiyo angefurahi kuona wanahabari wote Mkoa wa Manyara wanapata uelewa wa pamoja kuhusu mambo muhimu yafuatayo:-

  • Ukubwa  tatizo la saratani ya mlango wa kizazi.
  • Visababishi vya  maambukizi ya virusi vya Papiloma.
  • Dalili za saratani ya mlango wa kizazi.
  • Kinga ya saratani ya mlango wa kizazi.
  • Chanjo ya kuzuia saratni ya mlango wa kizazi.
  • Umri unao stahili katika kupata chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi.
  • Ratiba ya utoaji chanjo  ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi.
  • Mahali inapotolewa chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi.
  • Huduma kwa wasichana /wanawake wenye umri kuanzia miaka 15 na kuendelea.
  • Wajibu wa wanahabari katika kufanikisha uanzishwaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi.
  • Ujumbe muhimu wa kufikishwa kwa jamii na wanahabari.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.