• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

SERIKALI YATOA BILIONI 334 KUBORESHA MIUNDOMBINU SERIKALI ZA MITAA

Imechapishwa Tarehe: November 13th, 2018

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeshatoa zaidi ya shilingi 334 bilioni kuboresha miundombinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kupitia Mradi wa Uboreshashi na Uimarishaji Mamlaka za Serikali za Mitaa ( ULGSP).

Hayo yamesenwa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Barbara Mijini na Vijijini (TARURA) Eng. Victor Seif wakati wa ufunguzi wa kikako cha kazi cha tathimini ya utekelezaji wa mradi wa ULGSP kilichofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.

Eng. Seif alieleza kuwa Serikali kupitia Ofisi yaRais Tamisemi imeshatoa idadi hizo za fedha katika Halmashauri 18 zinazotekekeza mradi wa ULGSP zikiwemo; Moshi, Singida, Shinyanga, Geita, Musoma, Bariadi, Bukoba, Songea, Njombe Iringa, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Morogoro, Korogwe, Kibaha, Lindi na Babati, ili kuboresha miundombinu na huduma za kijamii kwa lengo la kupunguza kwa wananchi na kuboresha maisha yao.

“Mradi  huu umebadili kabisa sura na madhari ya miji hii inayotekeleza mradi huu kutokana na miundombinu bora iliyojengwa na kuboresha shunguli za kiuchumi na kijamii kwa wananchi,” alisema Seif.

Alieleza kuwa  sasa mradi umefanikiwa; kukamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa 105.8 Km na nyingine 47.1 km zipo kwenye hatua mbalimbali za kukamilishwa,” alisema Seif.

Pia alieleza kuwa kuna mikataba mbalimbali iliyosainiwa ambapo  utekelezaji unaendelea ni  ujenzi wa Stendi Tisa (9) za mabasi za kisasa ambapo stendi tano zimeshakamilika na zinatumika na Nne (4) zipo katika hatua mbalimbali za kukamilika.

Halikadhalika alieleza kuwa maeneo mengine yanayotekelezwa kupitia fedha hizo ni ujenzi wa machinjio za kisasa Nne (4), masoko ya  kisasa mane (4) pamoja na sehemu ya maenesho ya malori (Lorry packing) moja.

Eng. Seif alizitaka Halmashauri zinazotekeleza miradi hiyo kuhakikisha kuwa inatunzwa na kudumu kwa manufaa ya jamii.

“ Ni vema sasa mhakikishe kuwa bajeti ya kutosha inatengwa kwa ajili ya matengenezo na ukarabati na kuzikabidhi barabara zilizokamilika kwa TARURA kwa ajili ya ukarabati kwa wakati (timely maintenance),” alieleza Seif.

Aidha alizitaka Halmashauri kushirikiana na wananchi katika kutunza miundombinu iliyojengwa hasa ya stendi, machinjio na mifereji ya mvua ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

Pia Eng. Seif aliwashukuru wadau wa maendeleo hasa Benki ya Dunia kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali mijini hasa za miundombinu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kwa upande wake Kiongozi wa kikundi kazi cha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoka Benki ya Dunia bwana Erick Dickson alisema kuwa ni lazima sasa Halmashauri zinazotekeleza miradi hii kuhakikisha kuwa miradi inawanufaisha wananchi na kugusa maisha yao halisi, si kuangalia kilomita ngapi za barabara zimejengwa Peke yake.

“Lengo kubwa la mradi huu si kujenga miundombinu pekee bali ni kubadili maisha ya jamii husika na kuleta manufaa katika maisha yao. Ni lazima sasa muanze kufuatilia na kuchukua taarifa kutoka kwa wananchi wamenufaikaje na miradi hii,”alisema Erick.

Mradi wa ULGSP unatejelezwa katika Halmashauri za Manispaa na Miji 18 kwa fedha za mkopo nafuu takribani USD 255 milioni kutoka Benki ya Dunia kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Chanzo:www.tamisemi.go.tz


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.