• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara Kwa vyombo vya habari

Imechapishwa Tarehe: July 17th, 2023

Mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Manyara   ACP  George Katabazi  amefanya  mkutano na waandishi wa habari  tarehe  14/7/203   saa tano asubuhi, Akitoa  taarifa kwa wanahabari kuhusu  maendeleo  ya shughuli zinazofanywa na  jeshi hilo  katika  Mkoa wa Manyara.

Amewaambia waandishi  wa habari tarehe 13 julai  majira ya saa  tano asubuhi jeshi la polisi  Mkoa wa Manyara limefanikiwa  kukatamata wahamiaji haramu 12 raia  wa Ethiopia  ambao ni 1.  Kliu s/o  Teketl, 2.  Chrente s/o Alamu, 3.  Tadele  s/o Alem,  4.  Yofesu  s/o Ayano,  5. Workine  s/o Balechui, 6.  Adana s/o Aranga, 7.  Yones  s/o Lama, 8.  Baraka  s/o Gadafa, 9. Samweli s/o Yemeke, 10.  Algeze s/o  Arenga, 11.  Maratu  s/o  Watso , 12.  Buruk s/o Charine.

Wote nikutoka nchini Ethiopia  watuhumia walikuwa wakisafirishwa kwa gari aina ya MARK X  yenye nambari T. 215 DDY, iliyokuwa ikitokea Mkoa wa  Arusha kwakupitia  barabara kuu ya Arusha –Babati,  Polisi  waliweka mtego wakuikamata gari hiyo  hata hivyo dereva wa gari hilo alipogundua  anafuatiliwa  alichepuka kutoka barabara kuu nakuingia barabara ya changarawe  inayoelekea kijiji cha chemchem ambako ndiko  wahamiaji hao walipokamatwa.

Pia  muda   wa saa  19:45 maeneo ya kijiji cha kiongozi  barabara kuu ya Babati  Arusha kata ya Maisaka  wilaya ya Babati,  Jeshi la  Polisi walifanikiwa kukamata  dawa za kulevya aina ya Mirungi  kiasi cha bunda  264 sawa na kilogram 110  zikiwa zimehifadhiwa  ndani ya magunia  manne  ya katani.

  Dawa hizo zilikuwa zikifasirishwa kwa gari aina ya Toyota Noah  yenye nambari za usajiri T. 465 CUS  iliyokuwa inatokea Mkoa wa  Arusha  kwenda Babati  jeshi la polisi walipata taarifa na kuweka mtego kwa gari hilo.

Dereva  mala baada yakugundua  gari hilo linafuatiliwa  aliongeza kasi  na badae alishuka nakukimbia  pasipo  julikana,  juhudi za kumtafuta dereva huyo wa gari  Aina ya Noah zinaendelea  kufanywa na jeshi lapolisi Mkoa   wa Manyara.

Aidha  ACP  George  katabazi  amewataka  wananchi  wa Mkoa wa Manyara  kutoa  ushirikiano  katika kutoa taarifa  za wahalifu  hususani  usafirishaji wa dawa za kulevya,  Na wahamiaji haramu  ili jeshi la polisi  Mkoa wa Manyara liweze  kuwakamata nakuwashughulikia kisheria.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.