Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa (Mwenye Miwani) akipokea taarifa kutoka kwa Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Miundo mbinu Mkoa wa Manyara Godfrey Makala katika eneo lenye alama ya Mpaka kati ya Kijiji cha Lemapuli Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara na Kijiji cha Mafisa Wilaya ya Kilindi Mkoa wa Tanga, uliokuwa na Mgogoro wa muda mrefu ambapo Waziri Mkuu ameagiza Mpaka wa mwaka 1961 ndiyo utumike, pia Wizara husika iweke alama zaidi za kuonesha Mpaka.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.