• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

Imechapishwa Tarehe: November 14th, 2024

Serikali imeendelea na mkakati wa kutoa huduma za matibabu ya dharura kwa wagonjwa wanapofika kwenye vituo au hospitali kupata huduma.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa Waratibu wa afya ngazi ya mkoa RHMT pamoja na sekta ya mifugo na maji Dkt Agnes Buchwa kwa niaba ya mkurugenzi wa Huduma za dharura na maafa Novemba 10,2024 katika mji mdogo wa Mirerani wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, amesema Serikali kwa kushirikiana na Shirika la afya duniani WHO wameamua kuja na mpango huo ili kulinda afya na maisha ya Wananchi.

Dkt Buchwa ameeleza kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa namna ya uendeshaji wa kituo cha kuratibu matukio ya dharura ya afya ya jamii PHEOC ambacho kinaanzishwa kwa msaada wa shirika la afya duniani WHO kwa kuwezesha vifaa vya ofisi (thamani) pamoja na ICT ambapo kwa sasa kituo hicho kipo kwenye hatua ya ukamilishwaji.

Amesema mkoa wa Manyara kama ilivyo mikoa mingine imekuwa ikikabiliana na matukio mengi ya dharura yanayoleta madhara kwa afya za binadamu, wanyama na mazingira akitolea mfano tukio la maporomoko ya tope mawe na miti mlima Hanang' Desemba 3 mwaka,

“Kituo hiki ni moja ya mikakati ya nchi kuijengea uwezo mikoa yote 26 Tanzania bara katika kukabiliana na matukio ya dharura ya Afya ya jamii zinazoweza kujitokeza ambapo hadi sasa mikoa 16 imewezeshwa kuanzisha na kuendesha vituo hivyo (EOC) na Manyara unakuwa mkoa wa 17” amesema Dkt. Buchwa.

Mafunzo hayo ya siku tano yanatolewa  na wataalamu kutoka katika kituo cha kuratibu dharura za kiafya na majanga (ECO) cha Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya  Ulimwenguni ofisi ya Tanzania ambayo yatawawezesha kukiendesha kituo hicho kwa ufanisi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.