• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

WANAFUNZI MANYARA WASHINDA TUZO KITAIFA.

Imechapishwa Tarehe: August 3rd, 2019

Wanafunzi wawili shule ya sekondari Chief Dodo Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara washinda tuzo kitaifa katika mashindano ya Young Scientist Exhibition yaliyofanyika jijini Dar es saalam mapema mwaka huu. Wanafunzi hao ambao ni Editha Philipo Kidato cha Nne na Nasra mkochi Kidato cha tatu  ni mara ya nne kushiriki mashindano hayo walishinda ushindi wa jumla yaani wa kwanza na kuzishinda shule tisini na tano zilizoshiriki katika projekti  tisini na tano (95) zilizoshindanishwa.

Awali akizungumzaMkuu wa shule ya sekondari chief Dodo Ndg; Jackson B Warae alisema kuwa wanafunzi hao walishinda katika projekti yao ya mti uitwao Kivumbasi ambao hutumika kuwavutia nyuki kuingia kwenye mzinga katika vipindi vyote vya mwaka hata katika kipindi cha  kiangazi,pia alisema wanafunzi hao wanatarijia kushiriki katika mashindao ya kitaifa ya nchi za Afrika yatakayo fanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini Afrika kusini na wataiwakilisha nchi katika mashindano ya dunia yatakayofanyika mapema mwezi Januari mwakani huko nchini Ireland.

Aidha akitoa wito kwa wanafunzi hao Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh;Chelestine Mofuga alisema kuwa amefurahishwa na ushindi huo alitoa rai kwa walimu na wanafunzi kuweka kipaumbele katika masomo ya sayansi na hasa watoto wakike kuzidi pewa nafasi pia aliitaka jamii kutojingea mfumo dume kwani hata watoto wakike wanaweza pia alisema wazazi wanapaswa kutoa fursa kwa watoto wote kwa kuwapeleka shule hasa watoto wa kike.

(Kwa picha mbalimbali angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Imeandikwa na: Isabela Joseph (Mafunzo kwa Vitendo UDSM)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.