• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Waziri Patriobas afurahishwa na kasi ya Ujenzi wa Uwanja wa Kwaraa Mjini Babati

Imechapishwa Tarehe: August 11th, 2023

Na Fabian Isaya - Mjini Babati

Ni ziara ya  Naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu vijana ajira na walemavu  Mh Patriobasi Katiambi  amefanya  ziara  Mkoa wa Manyara  11/8/2023, akiambatana na  Naibu Katibu  Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu.

Ambapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen  Sendiga.  Ziara hiyo  yenye lengo wa ukaguzi  wa maandalizi  ya shughuli  za sherehe za kilele cha mbio za mwenge zinazotarajiwa kufanyika Mkoa wa Manyara mwenzi oktoba 14, 2023.

Sambamba na  kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara.  Amepokea  taarifa  fupi kuhusu maandalizi yanayoendelea  kufanyika, ikiwa nipamoja na upandaji wa nyasi  ambao umekwisha fanyika katika uwanja ambao unaandaliwa  kwajili ya  kilele cha mbio hizo.

Pia  ameeleza juu ya kupatiwa vifaa kutoka kwa wadau  nakupewa vijana wa JKT kwajili yakufanya maandalizi yanayoendana na muda uliyowekwa kwajili ya ukamilishaji wa uwanja.

Hata hivyo Mh Queen  Sendiga amemueleza  Naibu Waziri kuwa  kunachangamoto katika ujenzi wa kiwanja hicho cha  kwaraa, changamoto kubwa ikiwa ni uhaba wa fedha ameishukuru Serikali kwakutoa  Milioni 600  kwajili ya maandalizi ya uwanja huwo.

Pia ameeleza uwekaji wa nyasi umefanyika kwa msaada wa shirikisho la mpira wa miguu TFF. Ameshukuru ofisi ya Waziri Mkuu kwa jinsi ambavyo inashirikiana na ofisi yake ya Mkoa kwa ukaribu ilikuweza kufanikisha  shughuli hiyo kubwa kitaifa.

Aidha amemuhakikishia  Mh  Patriobasi  Katambi kuwa  maandalizi  kwa ujumla yanaenda katika  hali ambayo niyenye hatua ya kuridhisha.  Katika ziara hiyo  Mh Pastriobasi  katambi (Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu ajira na walemavu)  ametembelea  uwanja wa kwaraa ambapo aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh Lazaro  Twange.

Amefurahishwa na  jinsi ujenzi huwo wa uwanja unavyoendelea kwa kasi inayo ridhisha. Amefanya ukaguzi wa   majukwaa  na hasa ujenzi wa jukwaa kuu pia amepongeza uongozi wa Mkoa kwa namna unavyo  weka jitihada  zakutosha katika maandalizi hayo. Ametoa rai kwa  uongozi wa Mkoa  kuwa kilele chambio za mwenge kufanyika katika Mkoa wa Manyara ni niheshima kubwa  iliyopewa  Mkoa.

 Hivyo amehamasisha wananchi wa Mkoa wa Manyara na mikoa ya kaskazini kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kwani ni fursa kwa wafanya biashara na watu mbalimbali wakiwemo vijana.

Amefanya ukaguzi wa uwanja  ambao utatumika  kwa maonyesho ya wiki ya vijana kitaifa  uwanja wa stendi ya zamani, Pia ukaguzi  wa eneo la mafunzo kwajili ya vijana wa alaiki ambapo amesisitiza kuwa  alaiki kwa vijana haina ushirikiano wowote na masuala ya kichama.

 Amezungumza hilo ikiwa nikuwaondowa wazazi katika mtazamo huwo. Bali lengo la alaiki kwa vijana nikupata vijana wazalendo ambao wanaweza kutumika katika  ulinzi na usalama kwa badae katika Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh Lazaro Twange  akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa  katika ukaguzi wa maendeleo ya maandalizi  hayo ya kilele chambio za  mwenge.

Ameaidi kufanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na ofisi ya Waziri Mkuu sambamba na hilo amezungumzia  kuwepo kwa maandalizi hayo itakuwa na faida kubwa hata  mala baada ya  kilele chambio za mwenge, akisisitiza hasa  katika ujenzi wa uwanja wa kwaraa ambao utaleta manufaa makubwa katika Mkoa.

Ametaja manufaa hayo nipamoja na kukuza Sekta ya michezo katika Mkoa wa Manyara. Ambapo itasaidia kwakiasi kikubwa kuleta ajira kwa vijana wa Mkoa wa Manyara ikizingatiwa kuwa michezo nisehemu pia ya ajira.

   Pia itasaidia   idadi ya wajasiriamali kuongezeka katika Mkoa wa Manyara kupitia  maduka ya biashara yatakayokuwa yakizunguka  eneo la uwanja na  mapato kuongezeka kwa makusanyo ya kodi  ambayo yatatokana na ongezeko la kodi za wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.