• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Mh. Abrahamani Kinana Mkoani Manyara

Imechapishwa Tarehe: July 28th, 2023

Julai  24.  2023 saa  nne asubuhi katika  eneo la kijiji cha  Bonga  nje  kidogo ya mji wa Babati  Mkuu wa Mkoa wa Manyara  Mh Queen  Sendiga.

Akiambatana na katibu Tawala Mkoa wa Manyara (Mh Karoline Mthapula)  na viongozi  wa Ccm Mkoa  wa Manyara  akiwemo  mwenye kiti wa Ccm  Mkoa wa Manyara  na kamati nzima ya siasa Mkoa wa Manyara  amepokelewa  Comrade  Abrahamani Kinana.

Ziara hiyo  ya Comrade Abrahamani Kinana  Makamu Mwenyekiti  wa chama cha mapinduzi Tanzania bara  nikwajili  ya  kuimarisha  chama cha mapinduzi  katika Mkoa wa Manyara, Amepokelewa  na wananchi  wa Bonga  kwa furaha  huku wananchi wengi wakijitokeza katika  eneo hilo.

Mala baada  ya mapokezi  katika eneo la kijiji cha  Bonga  Comrade  Kinana. Amefanya kikao katika jengo la Ccm Mkoa wa Manyara na wakuu wote  wawilaya na wakurugenzi  wa Halmashauri zote katika  Mkoa wa Manyara katika kikao hicho  Comrade  kinana amepokea  taarifa fupi kutoka  kwa katibu wa Ccm Mkoa wa Manyara.

Aidha  katibu wa Ccm Mkoa wa Manyara katika kuwasilisha kwake  taarifa hiyo fupi ameshukuru chama cha mapinduzi  kuendelea  kutekeleza irani  ya chama kwakuweza kuleta miradi mingi ya maendeleo  katika Mkoa wa Manyara.

Pia amemshukuru  Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hasani kwakutoa fedha nyingi  katika Mkoa wa Manyara katika maeneo mbalimbali  ikiwemo elimu  Afya  ujenzi wa shule katika kila wilaya na vituo vya Afya katika ngazi ya kata  na wilaya.

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika kuwasilisha taarifa ya  Serikali, Amemshukuru  Mh  Rais  Samia Suluhu  Hasani kwakutoa fedha za utekelezaji wa miradi, Ameleeza  kuwa hali ya usalama  katika  Mkoa wa Manyara  ni nzuri  na hakuna shida yoyote pia ameshukuru kwa maboresho ya miundo mbinu ya elimu kwa jinsi ilivyofanikiwa katika Mkoa wa Manyara.

Katika kuwashilisha taarifa hivyo  Mh Queen Sendiga amemueleza  makamu mwenyekiti Tanzania bara Comrade  Abrahamani kinana kuwa Mkoa wa Manyara, katika makusanyo yake ya fedha katika ngazi ya Mkoa umefanikiwa  kukusanya Bilioni kumi na tisa  hiyo nikutokana na ripoti ya mkaguzi  Mkuu wa Serikali  ya mwaka wa fedha uliyopita ikiwa ni ongezeko zaidi ya makusanyo yaliyopita.

Sambamba na hayo Mh Queen Sendiga  amemuelezea  Comrade  kinana  kuwa kunachangamoto  pamoja nakuwa na mafaniko hayo katika Mkoa,  

Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na upungufu wa waalimu  kwa baadhi ya maeneo katika Mkoa wa Manyara changamoto ya uhaba wa wataalamu wa Afya  katika Mkoa wa Manyara changamoto za migogoro ya  Aridhi.

  Baada ya mazungumzo  hayo Mh Queen Sendiga  amemkabidhi  Comrade  Abrahamani kinana ripoti  ya Serikali huku tukio hilo likishuhudiwa na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Manyara.

Pamoja na tukio hilo  Comrade kinana  amefanya  kikao  na wanachama cha mapinduzi  Mkoa wa Manyara katika ukumbi wa mikutano uliyoko katika jengo la Ccm Mkoa wa Manyara, Amewapongeza wanachama wa Ccm Mkoa wa Manyara kwakuimarisha chama katika ngazi zote wilaya na mpaka kwenye kata na vijiji.

Amewakumbusha  majukumu yao  wakuu wa wilaya  kuwa  wao ni nguzo kati ya chama na Serikali  ameeleza pia kila zuri  ambalo wanachama wa Ccm Mkoa wa Manyara wameliona au kushuhudia  limetokana na sera  nzuri ya chama cha mapinduzi.

Katika ziara yake Comrade  kinana ametembelea  eneo la Daleda kati  kata ya  Ayalagaya  ambapo aliambatana na Mkuu wa Mkoa na kamati nzima ya chama cha mapinzudi Mkoa wa Manyara.

Mbunge wa  Babati vijijini ambae ndiye mwenyeji wa eneo hilo  Mh Daniel Siro  amempongeza  Mh Rais  Samia Suluhu Hasani  kwa utekelezaji mzuri wa irani ya chama cha mapinduzi.

Sambamba na hayo Mbuge huyo amewatoa  hofu kuhusu tatizo la maji kwa wananchi wa kata ya Ayalagaya kwakuweza kufanikisha mradi mkubwa wa maji ndani ya muda mfupi katika  kata hiyo.

 Ameeleza juu ya kufanikisha ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Babati vijijini lakini pia upokeaji wa fedha za tasaf kwa kaya zisizo jiweza kiuchumi ufanikishaji wa ujenzi wa madarasa katika kata hiyo.

Aidha  Comrade Abrahamani  kinana katika kuongea na wananchi wa kata ya  Ayalagaya amemshukuru Mbunge  Daniel Siro kwa kazi nzuri anayoifanya,

Amezungumzia utekelezaji wa mradi wa maji kupitia mdau aliyejitokeza katika kata ya Ayalagaya.  Amemuhakikishia mdau huyo kufanya kazi  kwa uhuru na kuongeza miradi mingine katika  Sekta ya elimu na Afya amezungumzia juu ya changamoto ya wawekezaji   kuingilia  maeneo ya wakulima katika kata ya Ayalagaya kuwaachia maeneo ilikuepuka migorogoro kati ya wananchi na wawekezaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.