• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ziara ya Mhe. Queen Sendiga Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati.

Imechapishwa Tarehe: September 22nd, 2023

Kuelekea Kilele cha Mbioa za Mwenge wa Uhuru  Mkuu wa  Mkoa wa Manyara  Mhe. Queen  Sendiga  amefanya ziara ya ukaguzi wa vituo vya Afya katika Halmashaui ya  Babati  vijijini. Ambapo ametembelea  Zahanati ya  Gidemara   amefanya ukaguzi  wa  ujenzi wa sehemu ya kunawiya mikono na ujenzi wa vyoo vitatu, chumba cha kujifungulia wakina Mama na tenki la kuhifadhia  maji,  Zahanati ya Gidemara  iko katika kata ya Galapo,  mradi ulianza Juni 2022 na unategemea kumalizika  Sepetmba 2023.

Amewataka  kamati ya ujenzi kumaliza  mradi huo kwa wakati  ili wananchi wa kata ya Galapo waweze kupata huduma za Afya na waondokane na usumbufu walinao upata. Amefurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa Zahanati hiyo  kwa jinsi unavyoendelea.

Aidha Mkuu wa Mkoa ametembelea Zahanati ya Nkasi iliyopo katika kata ya Mamile amefanya ukaguzi wa ujenzi wa sehemu ya kuchomea taka, chumba cha kujifungulia kwaajili ya wazazi, tenki la kuvunia maji ya mvua, Pia amefurahishwa na ujenzi wa Zahanai hiyo kwa jinsi unavyoendelea  na ukiwa kwenye hatua  zakumalizika  ili wananchi wa Mamile waanze kupata huduma.

Pia ametembelea  Zahanati ya Mamile  iliyopo kata ya Mamile amefanya ukaguzi wa kichomea taka na temki la kuvunia maji,  Zahanati ya Mamile ni miongoni mwa vituo vya Afya  vinavyotoa huduma katika Wilaya ya Babati, Aidha katika  kuwasirishiwa taarifa  ameeleza juu ya uwepo wa upungufu wa nyumba za watumihi , upungufu wa watumishi katika Zahanati hiyo.

Sambamba  na ukaguzi amefanya mkutano na wananchi wa kijiji cha  Mwinkantsi katika mkutano  na wananchi nakupata wasaa wakusikiliza kero za wananchi wa kijiji cha Mwinkantsi. Ambapo miongoni mwa changamoto alizopokea  ni changamoto za upatikanaji  wa huduma ya maji na huduma ya umeme  katika kijiji hicho.

Katika mkutano huo amewataka watendaji kuhudumia wananchi na kusikiliza kero za wananchi, Ametoa  maelekezo  kwa mamlaka husika  kutatua changamoto ya maji na umeme katika kijiji cha Mwinkantsi. Pia amewataka wazazi kuongea na vijana wao ilikuondoa tatizo la ukatili wa kijnsia  ambalo linaonekana kuwa kubwa katika Mkoa wa Manyara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.