• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ziara ya Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) Wilaya ya Simanjiro

Imechapishwa Tarehe: March 25th, 2017

Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassimu M. Majaliwa ametembelea Wilaya ya Simanjiro nakupata fursa ya kupokea Taarifa ya Wilaya; kufanya mikutano ya hadhara katika uwanja wa Orkesmeti, kusalimia wanakijiji wa Landanai,na mkutano wa hadhara katika Mji wa Mirerani.

Mheshimiwa Majaliwa katika Ziara yake alipokea malalamiko na kero mbalimbali,Kero kubwa zilizowasilishwa ni ukosefu wa maji, Kijiji cha Landanai kutokuwa na Mawasiliano, Hati asili ya madini ya Tanzanite kutobeba jina la Tanzania wala Simanjiro wala Mirerani,pia wanunuzi wa Madini ya Tanzanite zinazopelekwa nje ya nchi kutotozwa VAT wakati wanunuzi wa hapa ndani wanatozwa VAT,kukithiri kwa michango shuleni pamoja na kuwa Serikali inatoa fedha za Elimu bila Malipo na kero nyingine nikwamba Baadhi ya wananchi waliopisha eneo la EPZA kutolipwa fidia zao.

Mheshimiwa Waziri Mkuu, aliwasihi wananchi kuendelea kuwa na imani na Serikali yao kwa kuwa changamoto na kero zote walizozitoa zitafanyiwa kazi na kuhakikisha kuwa ahadi zote zilizotolewa na Ilani ya CCM zitatekelezwa.

Aidha Mheshimiwa Majaliwa aliwataka viongozi kutoka maofisini na kwenda kusikiliza,na kutatua kero za wananchi bila kuwazungusha.Hata hivyo, hakuacha kugusia juu ya vita dhidi ya dawa za kulevya na kusisitiza kuwa itakuwa endelevu hivyo kila mmoja anapaswa kupambana na dawa za kulevya sababu inaua nguvu kazi ya Taifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • Miaka Miwili ya Rais Samia Manyara ni Shangwe tupu Miradi ya Maendeleo

    March 18, 2023
  • SERIKALI YATOA MAAGIZO MGOGORO WA ARDHI KIRU

    February 13, 2023
  • MITI MILIONI 10.5 KUPANDWA MANYARA

    January 27, 2023
  • RC MAKONGORO AMESEMA WALIOCHAGULIWA WATAINGIA DARASANI BILA USUMBUFU WOWOTE

    January 23, 2023
  • Tazama Zote

Video

Karibu Mwenge wa Uhuru 2022 Mkoa wa Manyara
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.