Imechapishwa Tarehe: July 13th, 2024
Mwenge wa uhuru umeingia katika mkoa wa MANYARA ukitokea SINGIDA ambapo utakimbizwa Katika Halmashauri zote SABA za wilaya TANO za mkoa huo ambapo utakimbia kilomita 980.5 kukagua na kuweka mawe ya ms...
Imechapishwa Tarehe: July 12th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe.Queen Cuthbert Sendiga leo tarehe 12 Julai,2024 ameongoza umma wa wananchi wa Manyara kuupokea Mwenge kutoka Mkoani Singida.
Akizungumza wakati wa shamrashamra za map...
Imechapishwa Tarehe: April 10th, 2024
Na Nyeneu, P. R - Endagaw Hanang
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga amewataka wananchi mkoani kwake kuipokea kwa mikono miwili miradi inayoletwa na serikali kwa ajili ya maendeleo yao.
Am...