Imechapishwa Tarehe: December 13th, 2018
Naibu waziri Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Mwita Waitara amewataka watumishi wa umma Mkoani Manyara kuacha urasimu na kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo wananc...
Imechapishwa Tarehe: December 1st, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amewataka wakala wa Barabara Taifa (TANROADS) Mkoani Manyara kuanza mchakato wa kuweka taa za barabarani katika Barabara kuu iendayo Dodoma na Arusha katika...
Imechapishwa Tarehe: November 30th, 2018
Taasisi ya kuzuaia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara kwa kipindi cha Julai hadi Novemba 2018, imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 270,973,774.48 zilizokuwa zimefanyiwa ujanja...