• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

Picha mbalimbali katika kikao cha maandalizi ya Mpango wa matumizi ya ardhi

  • Wajumbe waliojitokeza katika kikao cha kujadili mpango wa matumizi bora ya Ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi (wa pili kutoka kulia) akiwa katika uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Wajumbe waliojitokeza katika kikao cha kujadili mpango wa matumizi bora ya Ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Japhet Hasunga akihutubia kwenye kikao cha uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi (wa pili kutoka kulia) akiwa katika uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi akizindua mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Wajumbe waliojitokeza katika kikao cha kujadili mpango wa matumizi bora ya Ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Meneja ujirani mwema wa hifadhi za Taifa Tanzania Bw. Ahmed Mbugi akiwatambulisha wageni katika kiako cha uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akimuongoza Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Mh.William Lukuvi kwenda kuzindua kikao cha Mpango wa matumizi ya kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Wajumbe waliojitokeza katika kikao cha kujadili mpango wa matumizi bora ya Ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi (kushoto) akiwa na Mbunge wa Babati Mjini Mh.Pauline Gekul (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Benelith Mahenge (katikati) baada ya kumaliza uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi (kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Benelith Mahenge (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Zephania Chaula (kulia) baada ya kumaliza uzinduzi wa mpango wa matumizi ya ardhi kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika jengo la Mkuu wa Mkoa wa Manyara 15 August,2018.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • RC Manyara amaliza Mgogoro wa ardhi baina ya mwekezaji na wananchi

    September 01, 2021
  • Mkirikiti amkabidhi Makongoro Ofisi rasmi

    May 25, 2021
  • Karibu Manyara Mhe. Makongoro Nyerere!!!

    May 22, 2021
  • Tuweke uzalendo ktk kusajili watoto chini ya miaka mitano - RC Manyara

    April 20, 2021
  • Tazama Zote

Video

Asilimia mbili ya mikopo kwa walemavu
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.