• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Uzinduzi wa Ukuta Mirerani

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara .Aprili 6, 2018

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na hati ya kukabidhiwa ukuta aliyopokea toka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.Aprili 6, 2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Kanali Mbugi alipokuwa akitoa malezo ya mradi wa Ujenzi wa ukuta uliojengwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kabla ya kufungua rasmi ukuta huo katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kupewa malezo ya mradi wa Ujenzi wa ukuta uliojengwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kabla ya kufungua rasmi ukuta huo katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akionyesha barua ya kumtambua muasisi na mgunduzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi (Kulia kwake), Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto kwake) na Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki wakati wa uzinduzi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite uliopo Mirerani-Simanjiro Mkoani Manyara.Aprili 6, 2018.

    Mzee aliyegundua madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma akielekea kupeana mkono na Rais wa Jamhuri Mhe.Dkt John POmbe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mzee aliyegundua madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Mzee aliyegundua madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma akiwa na watoto wake mara baada ya kuitwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt John POmbe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Mzee aliyegundua madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma akiwa na watoto wake mara baada ya kuitwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt John Pombe Magufuli katika sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa tuzo Mkuu wa JKT mstaafu Meja Jenerali Isamuyo kwa kazi nzuri wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Gari la kubebea wagonjwa kwa Uongozi wa Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa tuzo Mwakilishi wa Vijana wa Kujitolea wa JKT kwa kazi nzuri Waliyoifanya ya ujenzi wa ukuta wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa kitambulisho cha Taifa Mmoja wa wakazi wa Mirerani wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa kuashia ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabanda ya maonyesho ya shughuli mbalimbali zinazohusu Madini mara baada ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama Madini ya Tanzanite katika moja ya banda la maonyesho mara baada ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgunduzi wa Madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma mara baada ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga baadhi ya Wananchi wa Mirerani mara baada ya kufungua rasmi wa ukuta wa Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono mara baada ya kukabidhi Gari la kubebea wagonjwa kwa Uongozi wa Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.