Mkoa wa Manyara una maziwa na mabwawa ambayo wananchi waliozunguka maeneo hayo na maeneo ya jirani hufanya shughuli za uvuvi na hatimaye kujipatia kipato. Shughuli za uvuvi hufanyika hasa katika Ziwa Manyara, Ziwa Babati, Ziwa Bassotu, Ziwa Tlawi na Bwawa la Nyumba ya Mungu.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.