UMEME UTAPUNGUZA GHARAMA ZA MAJI
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mh.Wlliam Tate Ole-Nasha ametembelea shule ya Wasichana Nangwa Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara na kusema Serkali imetoa Shilingi Bilioni moja kukarabati miundombinu ya Shule hiyo.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.