Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu Mh.Jenista Mhagama amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Manyara kwa kufanya kazi kwa bidii katika Mkoa wake.
Manyara ni Mkoa uliobarikiwa Vivutio vingi sana vya utalii!!! angalia baadhi ya vivutio vya utalii vipatikanavyo Mkoa wa Manyara chini ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Bi.Ester Mahawe ameahidi kutoa bati na mifuko ya Cement kujenga Vyoo Shule ya Msimngi Sinai iliyopo Babati Mjini ili kuhakikisha wanafunzi wanapata vyoo bora katika shule hiyo.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.