Mkuu wa Mkoa wa Kulimanjaro Mh.Alexander Mnyeti amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kumaliza kukimbizwa katika Halmashauri saba za Mkoa wa Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amewataka wananchi wa kabila la kimasai Wilayani simanjiro kuacha tabia za kuwapinga watu wanaosaidia maendeleo mkoani Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara azindua Kmpeni ya Jiongeze tuwavushe salama Mkoanui Manyara!!!
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.