Naibu Waziri wa Maji Mh.Juma Aweso akiwa katika Mkutano wa Hadhara huko Dongobesh Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kutatua kero za Maji kwa Wananchi.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Aweso alitembelea Kijiji cha Olchoronyori Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara na kuahidi kumaliza tatizo la maji Kijijini hapo!!
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Aweso ameahidi kumaliza tatizo la maji katika Kata ya Gehandu WIlaya ya Hanang Mkoani Manyara alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya Maji Mkoani humo.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.