Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti ambaye pia ni mwenyekiti katika Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Manyara katikati akitoa maelekezo kwenye kikao cha Bodi hiyo ambacho kimefanyika Machi 1, 2018
Mkoani hapa kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Misaile Mussa koti nyeusi na upande wa kulia ni Mbunge wa Babati Vijijini kupita CCM Vrajal Jitu son.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.