• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

Imechapishwa Tarehe: February 19th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Februari 17, 2025 ameongoza kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Manyara kilichoshirikisha wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA, Wakala wa Barabara Tanzania TANROAD, wabunge wa Mkoa wa Manyara pamoja na Wakurugenzi na  Wenyeviti wa Halmashauri.

Akiongoza kikao hicho RC Sendiga, ametoa onyo kwa wafugaji  wanaopitisha mifugo yao kwenye barabara kuacha tabia hiyo ili kuepusha uharibifu mkubwa wa barabara na kuwaagiza Halmashauri kutoa elimu kwa wafugaji kwenye maeneo yao kuhusu umuhimu wa kutunza barabara.

Aidha, RC Sendiga amewaelekeza Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA), kuwa mikataba ya miradi mbalimbali isisainiwe ikiwa fedha za kutekeleza miradi hiyo hazipo ili kuepuka lawama kutoka kwa wananchi badala yake pesa zinapopatikana ndipo mikataba hiyo isainiwe.

Sambamba na hilo RC Sendiga, ameelekeza wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA Mkoa wa Manyara kuchonga barabara katika eneo la Kilimani Wilayani Hanang na maeneo mengine ambapo Barabara ni korofi.

"TARURA kesho asubuhi nataka nione mnafanya kazi kule mlimani, kachongeni ile barabarani sababu kule kuna athari kubwa sana barabara ile haipitiki na wananchi wanapita katika barabara ya shule ya nangwa, geti halifungwi sasa ni hatari wa watoto wale wakike." Sendiga amesema

Baadhi ya washiriki wa kikao hicho wameshauri kutungwa kwa sheria ndogo ya kupiga faini wafugaji wanaopitisha mifugo kwenye barabara na jukumu la kusimamia wakabidhiwe watendaji wa Kata na Vijiji ili iwe rahisi kubaini uharibifu mapema.

Katika mwaka wa fedha 2024/2025 TARURA Mkoa wa Manyara imetengewa Shilingi Bilioni 2,757.185 kwa ajili ya utengenezaji wa barabara kwa kiwango cha lami na changarawe.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.