Mh. Alexander Mnyeti Mkuu Mpya wa Mkoa wa Manyara Aliwasili katika Ofisi za Mkoa mnamo tarehe 31/10/2017 na kupokelewa na mwenyeji wake Mh. Dr. Joel Bendera na maofisa wengine na kufanya kikao kifupi na wafanyakazi wote katika moja ya kumbi za mikutano ofisini hapo.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.